Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,231
Umetisha unacheza miguu yoteMrusi akizingua basketball tuna msaka kwenye table tennisView attachment 983632
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha unacheza miguu yoteMrusi akizingua basketball tuna msaka kwenye table tennisView attachment 983632
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani basket hata kikapu kimoja inakula kwako,dahBasket ya ajabu timu inapiga point nyingi 1 hadi set ya 3 ys nne inashindwa kabisa na hapo umeweka over
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nilishajisajili sema process za kununua coin nashindwawazee wa bitcoin fuata hapa ujisajili uweze kudeposit 1xbet
n1cha.bitcoinwallet.com![]()
n1cha.bitcoinwallet.com/api![]()
Yan ukiwa betpawa unatakiwa uwe na apk ya 1xbet ,inasaidia kuwa unaangalia mambo yanavyoenda mana betpawa ipo kibubu bubu tu,unakuwa unachomoka unaenda 1xbet unaangalie upepo ulivyo kisha unarud betpawa ukiwa umetega game husika.Upo sahihi mkuu, ila changamoto inakuja pale unapotumia hizi betting sites za kibongo.. Ni mtihani kujua game ipo dakika ya ngapi.
Hili nimeliona betpawa.. kwa Inplay ni mtihani mgumu kwangu. Kipindi natumia 1xbet ilikuwa rahisi sana.
Tumia BetPawa kutega, fungua flashscore.com, au basketball24.com kupitia browser nzuri kama Chrome kuangalia trend.Upo sahihi mkuu, ila changamoto inakuja pale unapotumia hizi betting sites za kibongo.. Ni mtihani kujua game ipo dakika ya ngapi.
Hili nimeliona betpawa.. kwa Inplay ni mtihani mgumu kwangu. Kipindi natumia 1xbet ilikuwa rahisi sana.
Asante kwa ushauri mkuu..Yan ukiwa betpawa unatakiwa uwe na apk ya 1xbet ,inasaidia kuwa unaangalia mambo yanavyoenda mana betpawa ipo kibubu bubu tu,unakuwa unachomoka unaenda 1xbet unaangalie upepo ulivyo kisha unarud betpawa ukiwa umetega game husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia BetPawa kutega, fungua flashscore.com, au basketball24.com kupitia browser nzuri kama Chrome kuangalia trend.
tips
Chelsea win by 2+
manu win by 2+
weka chochote unachotaka
Mrusi akizingua basketball tuna msaka kwenye table tennisView attachment 983632
Sent using Jamii Forums mobile app
Teeeh mkuu ukiona wanakimbizana kwa tofauti ya 1 unaweka over ukiona wanazidiana 2-3 weka under lakini bahati inahusika Sana siyo muda wote utawaoteaUnawaangaliaje hawa mkuu au unawaotea tu? Me sina upepo nao hao nikiwajaribu kwa under wao wanatoa over nikiweka over hao wanatoa under, nikaona isiwe shida na kamchezo kenyewe kanachezwa muda mfupi kwel hivyo kula ni kwa haraka na kupigwa ni kwa haraka vilevile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teeeh mkuu ukiona wanakimbizana kwa tofauti ya 1 unaweka over ukiona wanazidiana 2-3 weka under lakini bahati inahusika Sana siyo muda wote utawaotea
Sent using Jamii Forums mobile app
Tujaribu hawaDoh angalau hata umenipa katechnique kakuikodolea macho pale simba anapokosa nyama[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia bet site gan hii?Hawa wanawake wameenda under q 2 je tunaweza waotea kwa q zinazofuata?View attachment 983723
Sent using Jamii Forums mobile app