soka255
JF-Expert Member
- Sep 3, 2018
- 1,860
- 1,321
mamamae limeshinda liarsenal na spursLeo anaweza kushinda kwasababu anahasira.
Pia anaweza kutoa drow kwasababu anahofu ya kipigo alichopata.
Sent using Jamii Forums mobile app
mamamae limeshinda liarsenal na spursLeo anaweza kushinda kwasababu anahasira.
Pia anaweza kutoa drow kwasababu anahofu ya kipigo alichopata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikufuata mkuu niliweka double chance cha ajabu Birmingham niliiamini nikaipa direct win na ndo ikanizamisha dahHii Ligi hii cjui ipoje Kuna siku inabuma yan utasema uchawiView attachment 983204
Sent using Jamii Forums mobile app
pole mkuu Mimi mwenyewe kuna katimu kamoja kameharibu sherehe mamamamae ..bahati nzuri nimebahatisha hapo kwa spursNimefunga na kufungua mwaka vibaya kwenye betting....'never give up the fight'
Mi nilieka gg sema luton kazinguaNilikufuata mkuu niliweka double chance cha ajabu Birmingham niliiamini nikaipa direct win na ndo ikanizamisha dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kujiunga kwa ajili ya kikapu. Dah! Siweki salio kwa sasa.hawa betpawa nao kimeo kwe kweli yaan leo basket ya china hawakuweka kabisa wakati game zipo kibao
Nilitaka kujiunga kwa ajili ya kikapu. Dah! Siweki salio kwa sasa.hawa betpawa nao kimeo kwe kweli yaan leo basket ya china hawakuweka kabisa wakati game zipo kibao
hahahahaha acha kabisa hii kazi sio mchezo mzee babamamamae leyton limeshindwa kutoa over 1.5 ....... fala kabisa
Mkuu ulijitaid kudonoa kwa kweli hivyo ndo inavyotakiwa kwenye gambling only less than +3 odd
Bro hakuna mwenye uhakika wa matokeo,nao wanatumia statistics kama wewe..cha msingi kuwa na nidhamu bet kwenye timu au mechi au ligi ambayo una data za kutosha..mfano leo km mfuatiliajiulikuwa asilimia zaidi 90 kuwa arsenal anashinda hata hao wanaotoa tips hakuna aliyemuua arsenal..usipoteze helo broKatika mihangaiko yako ya kila siku, ukipata hela we nunua hii app, cjanunua bado mm lakinView attachment 983299
Sent using Jamii Forums mobile app