Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Norwich na leeds wote hawa wanaongoza ligi..na wikiendi iliyopita wote walifungwa..na leo pia wote wameshapigwa piapu..sasa kama sio ushoga huu ni nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
Usithubutu ku bet kule champions na league 1 kisha nikampa mtu ushindi kama yupo ugenini hata kama anaongoza ligi! Kule kumejaa machoko watupu!
 
Kule hakufai Mkuu unaweza kukuta timu inaongoza Ligi ina point labda 65 anacheza na timu yenye point 20 mwisho wa mechi matokeo yatakayo token hutaamini
 
Hiyo ligi ya Championship na Italia series B sijui C usijaribu kabisaa... aneongoza Ligi kwa point 40 anapigwa na wa mwisho mwenye point 5...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eee Mungu
20190101_194929_rmscr-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom