Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata bitcoin changamoto zao zipo pia

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli lakini siku zote changamoto zinamjenga mtu, leo hii kuna watu walikuwa hawaifahamu bitcoin lakini wameijuwa kupitia sakata la 1xbet kuna wadau walikuwa hawana bank account lakini mwisho wa siku wamefungua akaunti kupitia sakata la 1xbet, sasa hata hili tatizo la kuwithdrawal kuna siku litapata solution, by the way amini kwenye wengi hapashindikani jambo.
 
kutoa ela inawezekana tena simple tu ngoja nimle mrussia kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa betpawa nao kimeo kwe kweli yaan leo basket ya china hawakuweka kabisa wakati game zipo kibao
 
Back
Top Bottom