Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi watu hawajui ku bet au? Majamvi mengine unaona kabisa hili chaka. Mtu anaweka mkeka mrefuuu kama Dar nzima vile. Kesho nakushauri weka Aresenal na Spurs kwa magoli weka mtonyo mrefu fungua wine kisha subiria hela! Very simple!
 
Hivi watu hawajui ku bet au? Majamvi mengine unaona kabisa hili chaka. Mtu anaweka mkeka mrefuuu kama Dar nzima vile. Kesho nakushauri weka Aresenal na Spurs kwa magoli weka mtonyo mrefu fungua wine kisha subiria hela! Very simple!
Mkuu mbona kawaida kupiga tuu..mikeka mirefuu...hachilia mbali single na ngumu..see attachments for your perusal..ndyo maana unafanya gambling kuangalia unapoteza sh ngap buku 1- 3 naeza nkacheza mkeka mrefu mpaka Sirari ama Rorya toka Dar.
1546271757600.png

1546271838653.png

1546271882521.png

1546271921241.png

1546271959427.png

1546272013329.png
 
Mkuu hapo kwa ligi ya kiafrika umejilipua kwelikweli...Aisee hili jamvi ukishinda ni tag nikupe zawadi!
Apo nimeangalia upepo wa msaudia hakosi goal moja na amempania sana mkorea..katika games zake..so lazima analysis siyo kubonyeza tuu ilimradi odds kubwa
 
fungua account kwa hii site ..localbitcoin.com.. kisha nunua bitcoin kwa mpesa au tigo pesa kwa wabongo..... then utawekewa kwa waleti yako.... ndio utahamisha toka kwenye wallet yako kwenda 1xbet.......na kuwithdrow pia utahamisha toka 1xbet kwenda kwenye wallet yako yyt ya crypto currencies... then utaziuza kwa kupitia localbitcoins.com

Sent using Jamii Forums mobile app
Nanunuaje bitcoin kwa tigo pesa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Naombeni Namba za PREMIER BET customer care nimekosea reference namba mpunga wangu haujangia sielewi msaada siwapat whatsapp hawajibu wala Email naomben namba zao
0800750032
0621444666
 
1.unatakiwa ukajisajiri localbitcoins.com...
2.utaverify email yako
3.tatu utaomba kununua bitcoins hapa wauzaji watajitokeza na offa zao utachagua muuzaji
4.ukishamchagua yeye atatoa maelekezo ya njia ya kumlipa then atakutumia bitcoins kweny wallet yako
5.zikishaingia utaenda 1xbet deposit by bitcoins kuna transaction id utapewa utaicopy kwenda kuipaste kweny localbitcoins.com ambapo utachaguaoption ya send utaingizaiyo id ,tayari
najua maelezo yangu yanaweza yasitosheleze ila niulize pale ulipokwama nitasaidia zaid


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom