kamanga2016
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 657
- 503
mkeka bet
mkeka bet
we jamaa yaani Porto ndo afungwe kweli..tententeView attachment 981368
Sijui nako huku ntasalimika Mungu akaweke mkono wake Porto azamishwe tu
Nielekeze jinsi ya kucheza Pleasebasketball live cheza under ligi za ulaya hasa germany zinatoa sana
nshapiga 90k kwa 10k
mkuu usiwe na wasi wasi porto yupo vizur mpira dakika 90 ..lets wait naamini mungu ataweka mkono wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau naona kama M pesa Kenya nayo kwenye Paymenty Mobile imetolewa kule 1XBET ama ni Mimi naona vibaya jamani😎
mkuu hebu naomba unielekeze hii wanadeposit vipi kupitia bitcoin na ukiwithdraw pesa unazipataje?
ndyo hivyo mkuu kule ureno porto awajawai kumuangusha mtu kk mm naitumia sana ile timu na always inakuja inavyotaka..mkuu uzid kubalikiwa [emoji123] [emoji123] [emoji123]Hakika mkuu.. hatimaye maombi yamejibiwa.
fungua account kwa hii site ..localbitcoin.com.. kisha nunua bitcoin kwa mpesa au tigo pesa kwa wabongo..... then utawekewa kwa waleti yako.... ndio utahamisha toka kwenye wallet yako kwenda 1xbet.......na kuwithdrow pia utahamisha toka 1xbet kwenda kwenye wallet yako yyt ya crypto currencies... then utaziuza kwa kupitia localbitcoins.commkuu hebu naomba unielekeze hii wanadeposit vipi kupitia bitcoin na ukiwithdraw pesa unazipataje?
hongera naona umerudisha nyingineBoooooooommmm againView attachment 981640
Daah nimechelewa odds zikashukakidi kudi nadhani leo tuko pamoja mzee baba tupia mawe humu tuyafate game ya Australia