kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
bet lost, hii imekula kwetu
Kaka nilisema nina laki1 nihamishie hiyo hela kwenye akaunti yangu ya 1xbet wewe nakutumia m pesaHivi Ngoja niulize inamaana watu wote humu hakuna wanaoendelea kutumia 1xbet.? Na wa naweza Ku deposit na Ku withdrawn bila Shida wakatupa mbinu na Sisi tuwe kama wao.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah wameshindwa vikapu viwili tu wajingabet lost, hii imekula kwetu
Gemu za Iran Oman na Korea Saudia, pamoja na mechi moja ya Ligi ya Australia hela njenje kwa wanaotaka niwamegee jamvi la leo.....Jana kama ulifuata niliyokueleza kwa games za man, city na Chelsea hope now unafurahia matunda....Kesho kwa wale wa Champions League usitoe direct win kwa yeyote...Wengi wape under 4.5 full time.
ok kumbe kuna kamzunguko kidogofungua account kwa hii site ..localbitcoin.com.. kisha nunua bitcoin kwa mpesa au tigo pesa kwa wabongo..... then utawekewa kwa waleti yako.... ndio utahamisha toka kwenye wallet yako kwenda 1xbet.......na kuwithdrow pia utahamisha toka 1xbet kwenda kwenye wallet yako yyt ya crypto currencies... then utaziuza kwa kupitia localbitcoins.com
Sent using Jamii Forums mobile app
tumegee mkuuGemu za Iran Oman na Korea Saudia, pamoja na mechi moja ya Ligi ya Australia hela njenje kwa wanaotaka niwamegee jamvi la leo.....Jana kama ulifuata niliyokueleza kwa games za man, city na Chelsea hope now unafurahia matunda....Kesho kwa wale wa Champions League usitoe direct win kwa yeyote...Wengi wape under 4.5 full time.
Tumia prepaid master card ya EximHivi Ngoja niulize inamaana watu wote humu hakuna wanaoendelea kutumia 1xbet.? Na wa naweza Ku deposit na Ku withdrawn bila Shida wakatupa mbinu na Sisi tuwe kama wao.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Basket kutam..
tuma basi mkuuGemu za Iran Oman na Korea Saudia, pamoja na mechi moja ya Ligi ya Australia hela njenje kwa wanaotaka niwamegee jamvi la leo.....Jana kama ulifuata niliyokueleza kwa games za man, city na Chelsea hope now unafurahia matunda....Kesho kwa wale wa Champions League usitoe direct win kwa yeyote...Wengi wape under 4.5 full time.