Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata mimi sijui maana ya handcap

Na maelezo yako yamezidi kunichanganya zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano: Liverpool FC v Mbao FC
Ikiwa ni handicap 0:2, Mbao amepewa goli 2 za mezani ili kusawazisha udhaifu wake. Hivyo, matokeo ya uwanjani yakiw Liverpool 1:1 Mbao, Mbao atahesabiwa ushindi for the betting purpose.
 
handcap maana yake timu ambayo ipo weak inagewa magoli kabla hata ya mechi kwa mfano liverpool vs newcastle.hapo newcastle yupo weak sasa anaweza akapewa magoli 4 mechi ikianza newcastle anakuwa na magoli manne kwa hiyo mchezo ukiisha 0-0 inamaana newcastle amewin ila ikiisha liver 5 na newcastle 0 hapo liver amewin kwa sababu ukiweka ile handcap inakuwa liver 5 na newcastle 4...ipo hivyo mkuu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Asante nimekusoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: bul
Screenshot_2018-12-30-20-15-15.png

Sijui nako huku ntasalimika Mungu akaweke mkono wake Porto azamishwe tu
 
Back
Top Bottom