fahadahmed
Senior Member
- Oct 26, 2017
- 109
- 23
check after five minutes to seven kwenye qouta iyoo then weka under 40 option kama ipo mimi zimetoa zotee kwenye quoter zotee nlizoweka ila angalia kwanza vikapu vinaendaje
Ongeza stake acha uoga!
[emoji23][emoji23][emoji23] Mtaji mdogo ila mdogo mdogo toka asubui nimesha ingiza Tsh20, 000Ongeza stake acha uoga!
Nimetoka kupigwa huko yani man city second half hawajaongeza hata goli moja shughuli yote imeishia first half
mkuu umechezaje hii mbona sijaelewa ni nzur sana hasa kwa ambao wana mtaji mdogo na waoga yaan mguu nje mguu ndani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nimetoka kupigwa huko yani man city second half hawajaongeza hata goli moja shughuli yote imeishia first half
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mambo vip, DM plzTatizo LA deposit&withdraw Kwa MRUSI (1xbet ) limepata Tiba
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika TZ - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
handcap maana yake timu ambayo ipo weak inagewa magoli kabla hata ya mechi kwa mfano liverpool vs newcastle.hapo newcastle yupo weak sasa anaweza akapewa magoli 4 mechi ikianza newcastle anakuwa na magoli manne kwa hiyo mchezo ukiisha 0-0 inamaana newcastle amewin ila ikiisha liver 5 na newcastle 0 hapo liver amewin kwa sababu ukiweka ile handcap inakuwa liver 5 na newcastle 4...ipo hivyo mkuu.
Mkuu kumbe ulikuwa bado unatumia 1xbetWadau naona kama M pesa Kenya nayo kwenye Paymenty Mobile imetolewa kule 1XBET ama ni Mimi naona vibaya jamani😎
Hata mimi sijui maana ya handcaphandcap maana yake timu ambayo ipo weak inagewa magoli kabla hata ya mechi kwa mfano liverpool vs newcastle.hapo newcastle yupo weak sasa anaweza akapewa magoli 4 mechi ikianza newcastle anakuwa na magoli manne kwa hiyo mchezo ukiisha 0-0 inamaana newcastle amewin ila ikiisha liver 5 na newcastle 0 hapo liver amewin kwa sababu ukiweka ile handcap inakuwa liver 5 na newcastle 4...ipo hivyo mkuu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app