Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tumegee mkuu, muhimu
Gemu za Iran Oman na Korea Saudia, pamoja na mechi moja ya Ligi ya Australia hela njenje kwa wanaotaka niwamegee jamvi la leo.....Jana kama ulifuata niliyokueleza kwa games za man, city na Chelsea hope now unafurahia matunda....Kesho kwa wale wa Champions League usitoe direct win kwa yeyote...Wengi wape under 4.5 full time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya mwaka Mpya hiyo!
Screenshot_20181231-103451.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Naombeni Namba za PREMIER BET customer care nimekosea reference namba mpunga wangu haujangia sielewi msaada siwapat whatsapp hawajibu wala Email naomben namba zao
 
Back
Top Bottom