D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
poapoa
poapoa
Nifundishe kwenye kikapu inachezajweLEO SIJAONA MECHI ZA KUNISHAWISHI KWENYE FOOTBALL NGOJA NIHAMIE KWENYE KIKAPU NIJARIBU NYOTA
Mzee baba kidi kudi sasa naomba uanze kinifundsha mambo ya basket maana hela ipo. Kama ulivyo nambia ligi ya USA ndo balaa. Naomba uanxe kutupa darsa la kubeti basket
NBA, China usipende sana kucheza under labda kama hiyo under ina odds ya 1.03[emoji16][emoji16]... Japani huko ligi nyingine ni mara chache sana kuzidi 48. Huko kucheza under ni salama zaidi kuliko hizo ligi mbili tajwa. Pia uwe unachek kwanza kwota ya 1 imeendaje, kama anayepewa nafas ya ushindi wa jumla,kapigwa kwota ya kwanza basi bila shaka kwota ya pili itakua ngumu kwani atakaza kurudi mchezoni, kwahiyo option ya under inakua ni risk kidogo hapo inabidi utafute over yenye angalau 1.5+Mzee baba kidi kudi sasa naomba uanze kinifundsha mambo ya basket maana hela ipo. Kama ulivyo nambia ligi ya USA ndo balaa. Naomba uanxe kutupa darsa la kubeti basket
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi wa home nilimpa handcap ya +5.50 naona imeenda vizuriMmmh sijui wametoa wapi nguvu za kufikisha 40+[emoji3][emoji3]
Bet Lost!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa hints hizo. Ila inabid darasa zaidNBA, China usipende sana kucheza under labda kama hiyo under ina odds ya 1.03[emoji16][emoji16]... Japani huko ligi nyingine ni mara chache sana kuzidi 48. Huko kucheza under ni salama zaidi kuliko hizo ligi mbili tajwa. Pia uwe unachek kwanza kwota ya 1 imeendaje, kama anayepewa nafas ya ushindi wa jumla,kapigwa kwota ya kwanza basi bila shaka kwota ya pili itakua ngumu kwani atakaza kurudi mchezoni, kwahiyo option ya under inakua ni risk kidogo hapo inabidi utafute over yenye angalau 1.5+
Sent using Jamii Forums mobile app
@kidi kudiNaona kuna mech za basket baadae kdg. Tupe tip mzee baba. Maana football wanajinafac sana nasi wa basket tujiachie mkuu. Tupe tip za mech za leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hela itarudshwa na m-pesa usiwe na presha. Mwez wa nne nilieka 450000 huko na nilikosea namba moja. Ckupiga simu wala kuwatafuta na wakairudsha baada ya siku 3 mana nkua naelewaWakuu Naombeni Namba za PREMIER BET customer care nimekosea reference namba mpunga wangu haujangia sielewi msaada siwapat whatsapp hawajibu wala Email naomben namba zao
Mkuu umebet jero unataka ule fifty plus! Ukiona hivyo basi ukila una Mungu sana. Hata hivyo kwa hizo predictions zako ushalambwa kajero kakoDah. . muhindi anaruka ruka kama panya vile ila nikimkamata atapata tabu sana... Wacha leo nimjaribuView attachment 981956
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Ngoja niulize inamaana watu wote humu hakuna wanaoendelea kutumia 1xbet.? Na wa naweza Ku deposit na Ku withdrawn bila Shida wakatupa mbinu na Sisi tuwe kama wao.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipigie 0765016525 au 0676800839fungua account kwa hii site ..localbitcoin.com.. kisha nunua bitcoin kwa mpesa au tigo pesa kwa wabongo..... then utawekewa kwa waleti yako.... ndio utahamisha toka kwenye wallet yako kwenda 1xbet.......na kuwithdrow pia utahamisha toka 1xbet kwenda kwenye wallet yako yyt ya crypto currencies... then utaziuza kwa kupitia localbitcoins.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa lazima nimle kichwa tu.. Hachomoki leoMkuu umebet jero unataka ule fifty plus! Ukiona hivyo basi ukila una Mungu sana. Hata hivyo kwa hizo predictions zako ushalambwa kajero kako
At last solution imepatikana,thanks alot @oneonly.Dahhhh! yaani takriban miezi 2 imepita, 1xbet nakula kwa macho.Sasa hivi niko kwenye process ya kukamilisha nijidai kwenye 1xbet .fungua account kwa hii site ..localbitcoin.com.. kisha nunua bitcoin kwa mpesa au tigo pesa kwa wabongo..... then utawekewa kwa waleti yako.... ndio utahamisha toka kwenye wallet yako kwenda 1xbet.......na kuwithdrow pia utahamisha toka 1xbet kwenda kwenye wallet yako yyt ya crypto currencies... then utaziuza kwa kupitia localbitcoins.com
Sent using Jamii Forums mobile app