Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

We n nouma nipo bega kwa bega na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Testing
IMG_20190101_030632_669.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku kirueni network ni ya kulenga kwa manati mzee baba[emoji16][emoji16]

Hebu tuanze mwaka kwa Tennis, waweza kutembea nalo lote hili kokoro au chambua zako chache, na nakushauri chukua zenye odds ndogo kabisa game hata 5 weka mzigo, vunja nyingine 5 weka kitu. Bila shaka mwaka utaanza vizuri.

Kwa sh 60 unaeza vuna malaki mengi mengi[emoji3][emoji3][emoji3]
Thanks me later!View attachment 982551View attachment 982552View attachment 982553View attachment 982554View attachment 982555View attachment 982556View attachment 982557View attachment 982558

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu leo nimepitwa maana kausngz kalinichukua ndo naamka dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya handcap by Quarters yalivyo na utamu wake,wadau geikieni kipande hiki kuna utamu balaa wa odds wala si pasua kichwa kivile.
 

Attachments

  • Screenshot_20190101-073325.png
    Screenshot_20190101-073325.png
    20 KB · Views: 40
  • Screenshot_20190101-073443.png
    Screenshot_20190101-073443.png
    25.8 KB · Views: 34
  • Screenshot_20190101-073513.png
    Screenshot_20190101-073513.png
    24.3 KB · Views: 37
Back
Top Bottom