wawila01
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 212
- 87
Yeeeeh baba Nguvu Ya Buku tuna ionaMkuu mbona kawaida kupiga tuu..mikeka mirefuu...hachilia mbali single na ngumu..see attachments for your perusal..ndyo maana unafanya gambling kuangalia unapoteza sh ngap buku 1- 3 naeza nkacheza mkeka mrefu mpaka Sirari ama Rorya toka Dar.
View attachment 982202
View attachment 982203
View attachment 982204
View attachment 982205
View attachment 982206
View attachment 982207
uko localbitcoin ingia kweny wallet utaona option ya send bitcoin watakwambia uingize bitcoin adress hii uwa kwa mtindo wa namba nyingi uwezi kuziclaim utazipata 1xbet baada tu ya kuchagua deposit by bitcoin so zicopy na ukapaste kweny localbitcoin pale kweny bitcoin adress then click sendMkuu nimeshafungua bitcoin, na Tayar Mzigo upo Kwenye walet, nimeenda 1xbet Kwenye bitcoin, nimeshindwa kuendelea maelekezobplz
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanksuko localbitcoin ingia kweny wallet utaona option ya send bitcoin watakwambia uingize bitcoin adress hii uwa kwa mtindo wa namba nyingi uwezi kuziclaim utazipata 1xbet baada tu ya kuchagua deposit by bitcoin so zicopy na ukapaste kweny localbitcoin pale kweny bitcoin adress then click send
Sent using Jamii Forums mobile app
1x bet. By using bitcoinHii kampuni gani mkuu.?? Mbona kama ni nzuri sana. Na option zao za kudepost na kuwithdraw zikoje..??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntaka nijiunge rasmi na betpawa Maelezo please
Jamaa anataka atoboe kwa buku hahahahaaa ila acha atuongezee mtaji maana Muhindi anaweza kukimbia mjini. Na nawaeleza ukweli hata ukiweka milioni, mikeka mirefu ni hatari kwa afya yako.....Try it at your own risk!
mambo ya bitcoin yamekuja kuokoa jahazi, betpawa utanisamehe kidogo kwani narudi nyumbani 1xbet kumenoga
Mkuu betpawa mimi nafata bonasi na nazifaid sana. Bonus ndy mpango mzimamambo ya bitcoin yamekuja kuokoa jahazi, betpawa utanisamehe kidogo kwani narudi nyumbani 1xbet kumenoga
1xbet uzuri wake hawachagui mechi sasa betpawa anachagua mechi za kuweka mfano baadhi ya ligi huwa haweki mechi zake, hakuna kampuni ya kumfikia 1xbet mfano katika basketball option ya kwanza over point atakayoweka betpawa au sportpesa kwa 1xbet utakuta imekuwa option ya mwisho, hizi local betting company ni wapigaji by the way nje ya bonus betpawa hakuna cha maana hawana tofauti na kina sportpesa na wengineo wa kibongo.Mkuu betpawa mimi nafata bonasi na nazifaid sana. Bonus ndy mpango mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
mdau fungua local bitcoin fasta tu unaingiza mpunga wako kwenye akaunti