Mto_Ngono
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 686
- 589
Mkuu sidhani labda uweke 1.5 overcardiff vs spurs aisee kapewa odd nyingi sana cardiff atamfunga spurs kama juzi kweli ile ya tatu kwa moja ??
Huu ni mchezo wa kubahatisha katika matukio matatu tu: kushinda,kupoteza na kutoa suluhu.cardiff vs spurs aisee kapewa odd nyingi sana cardiff atamfunga spurs kama juzi kweli ile ya tatu kwa moja ??
Stake imenichekesha ungetia buku ungempiga palefu
Unatuma Tips kila siku na bado unaendelea kutumia tecno, c ufala huo!!
Leo anaweza kushinda kwasababu anahasira.Maoni yenu wadau.. Arsenal vipi leo atashinda? au ni yale yale ya wiki iliyopita.
Umejuaje?Unatuma Tips kila siku na bado unaendelea kutumia tecno, c ufala huo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo mkuu! Japo tecno ni simu tunayoidharau lakini zipo za hadi laki 7 wakati huohuo kuna Samsung za laki mbili.Unatuma Tips kila siku na bado unaendelea kutumia tecno, c ufala huo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Cardiff kibonde sana leo spurs anamtundikacardiff vs spurs aisee kapewa odd nyingi sana cardiff atamfunga spurs kama juzi kweli ile ya tatu kwa moja ??
Nimechukua km ilivyo
Halafu ww unadharau sana...una tabia za kikeUnatuma Tips kila siku na bado unaendelea kutumia tecno, c ufala huo!!
Sent using Jamii Forums mobile app