Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bro hakuna mwenye uhakika wa matokeo,nao wanatumia statistics kama wewe..cha msingi kuwa na nidhamu bet kwenye timu au mechi au ligi ambayo una data za kutosha..mfano leo km mfuatiliajiulikuwa asilimia zaidi 90 kuwa arsenal anashinda hata hao wanaotoa tips hakuna aliyemuua arsenal..usipoteze helo bro

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ye ananirahisishia, kazi ya kuzunga kila siku nacheki na kukagua mechi nani anataka. Ganda la ndizi ni muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee
Screenshot_20190101-223346~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaambiwa kuna watu wanatoa prediction kwa hela hawaelewi. Hiv mtu atoe tips hizo bure

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ukiangalia kwenye hizo tips kuna GG..mechi imeishia 0-3...huoni nao wanabahatisha.
Wana tofauti gani na huyu aliyetoa tips za bure...tunajaribu kukusaidia huo ni mchezo wa bahati...za kuambiwa changanya na zako

Screenshot_2019-01-01-22-52-42.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom