Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nikweli betting ukitulia ni zaidi ya biashara Ila ukiwa na tamaa bwana weee itakula kwakooo dah! Ila nilivyo waona waha 1xbet mh! Ni hatali option mpaka basi ushindwe mwenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
Basket na tennes live gem nlikua naanza na buk10 ndani ya mda mda mchache unaiona laki kwenye walet kwa siku laki4,5 unazipiga kule Kama kawaida ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5+ odd
Screenshot_20190102-185822.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejisikia tu kufanya hicho nilichokifikiria kukifanya 😎
 

Attachments

  • IMG_20190102_194145.jpg
    IMG_20190102_194145.jpg
    66.7 KB · Views: 46
Back
Top Bottom