The Technologist
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,394
- 2,801
Mkuu msaada was somo LA kubeti Basket na TennesBasket na tennes live gem nlikua naanza na buk10 ndani ya mda mda mchache unaiona laki kwenye walet kwa siku laki4,5 unazipiga kule Kama kawaida ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona walivyo wa ajabu wamefika 47Umeona dk ya 9 hata 30 hawanafika ila huu mchezo was kiduanzi kweli unaweza kuta wanabadilika ndani ya dk 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka ulikua umeshika moyo[emoji3][emoji3]Hii nilifumba macho under kwa NBA ni hatari sanaView attachment 984498
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umejilipua kuliko kawaida....Bora ungeweka option za under 4.5wadau leo liver vp kwa man city mi nimefumba machoView attachment 984509
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo ya liver bora uweke magoli au uachane nayowadau leo liver vp kwa man city mi nimefumba machoView attachment 984509
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe jamaa mbona unatuzingua humu unatafuta bwana au?Wadau,
Embu tupeni maoni yako kuhusu hii site https://www.surveymonkey.com/r/2N2RZBN
Kisha ujishindie mkeka wa bure
liver ana ngekewa sana msimu huuIyo ya liver bora uweke magoli au uachane nayo
Unamuuaje man city
Haya
hiyo ni GG inatoaHaya
Tusubiri matokeo
GG sawa ila sio kumpa liver moja kwa mojahiyo ni GG inatoa