WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,375
- 3,140
NotedFanya hivi kuhusu man city na liver
1. City hana beki ya kuzuia forward ya liver ukiachilia company wengine wote vilaza.
2. Wote City na Liver wana viungo na forward wazuri
Ukiangalia records wako vizuri ila karibia mechi nyingi wameruhusu magoli.
Weka option ya magoli achana na ushindi
Over!
Sasa si bora ukatwe huko bitcoins kuliko kukatwa kodi ya kinyonyaji na bado still game unapangiwa zile za kuliwa tu. 1xbet game unajichagulia tu.
Boss naomba nipe mchakato wa kununua hizo bitcoins boss kazi. Ikiwa ni kujisajili na unainunuaje, maana nimeenda localbitcoins nimeona nyota tu. Million 10 na 9 za kutosha ila sasa sioni nawezaje kununua.Wakuu jana kuna mdau alituma link ya bitcoin nikaamua kujiunga na kununua bitcoin za tsh 3000 mpaka nafanikiwa kuiingiza 1xbet ilikua 2113tsh.....
Makato yapo juu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm ivo ivo ,mtupe darasa vizur yan nashindwa la kufanya nimefungua naona mamilioni sasa nayanunuaje mm hahaaaBoss naomba nipe mchakato wa kununua hizo bitcoins boss kazi. Ikiwa ni kujisajili na unainunuaje, maana nimeenda localbitcoins nimeona nyota tu. Million 10 na 9 za kutosha ila sasa sioni nawezaje kununua.
Mkuu game za Chelsea mara zote weka under 4.5 wale jamaa ni vilaza mbaya! Ni kama Arsenal tu. Mimi ni shabiki wa Arsenal lakini siwezi bet ashinde kwenye game yoyote....Game laini namuwekea under 4.5 ila akikutana na mtu kama liver nampa over 1.5 mchezo umeishamhhhh betting haina formula mbaba jana watu tulicheza odds 2, Chelsea win na Man united win lakini bado pesa yetu imekutana na kifilo cha kufa mtu
Inawezekana maana Company ni bingwa wa kutoa mipira.Liverpool Anapiga Kona Nying Kipind Cha Kwanza
Odd 3.20
Utanikumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app
HajashindaUtakuwa umeshinda maana bado ushindi utakuwa unaendelea kwa home team
Sent using Jamii Forums mobile app
boya sana huyoSikuhangaika kutazama maana niliona haviendani na alichokipost halafu unaulizwa maswali then hola unachokifuta kuhusu betting
Sent using Jamii Forums mobile app
good pointMkuu game za Chelsea mara zote weka under 4.5 wale jamaa ni vilaza mbaya! Ni kama Arsenal tu. Mimi ni shabiki wa Arsenal lakini siwezi bet ashinde kwenye game yoyote....Game laini namuwekea under 4.5 ila akikutana na mtu kama liver nampa over 1.5 mchezo umeisha
Tutake radhi sisi Arsenal tafadhaliMkuu game za Chelsea mara zote weka under 4.5 wale jamaa ni vilaza mbaya! Ni kama Arsenal tu. Mimi ni shabiki wa Arsenal lakini siwezi bet ashinde kwenye game yoyote....Game laini namuwekea under 4.5 ila akikutana na mtu kama liver nampa over 1.5 mchezo umeisha
hata hiyo over sio ya kukurupuka aiseeNBA ndio ligi ya ******* kweli kweli, labda uwe mcheza over
Hatimaye mtaftaji hachoki nmefanikiwa kuingiza pesa 1xbet kwa kutumia bitcoin
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo umempa away team aongoze vipindi vyote. Sasa kama matokeo ni 2:1 hapo si utakua umeloose. Unless kama umechange matokeo yasomeke 1:2 kwa vipindi vyoteOi, hivi ukichagua 2/2 HF. Kipindi cha Kwanza ikawa 2-1 na matokeo yakaisha 2-1 inakuwajs, au ndo ushaliwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
TunajiungajeLipo Group la Telegram kuna kila kitu Huko
Sent from my iPhone using JamiiForums
Watakukumbuka baada ya game hiiMan city 2-1 anashinda
Umeongea Mkuu,NAWAKUMBUSHA TU ODDS HUWA HAZICHEZI MPIRA siku njema wakuu