City anapigikaa mapemaa tuuWatakukumbuka baada ya game hii
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
ngoja nitembelee hizi baraka zako.Man city 2-1 anashinda
Man city Vs Liverpool option nzuri kwa leo nikubet magori au handicap ya corners, City wanapiga sana corners, au 1H corners over 4.5 total.ngoja nitembelee hizi baraka zako.
Hahahah we waacheWatakukumbuka baada ya game hii
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Eka magoli tu mkuungoja nitembelee hizi baraka zako.
,2/2 kwa uelewa wangu ni kwamba team 2 ashinde mwanzo mwisho kwamba 1st half ashinde na 2nd half vile vile ashinde,,yaani kama 1st half iwe home team 1-2 away team halaf 2nd half home team 0-1 away team..hapo game itaisha 1-3 na away team atakua ameshinda vipindi vyote viwili..ndo naelewa ivo kwa maana ya 2/2Utakuwa umeshinda maana bado ushindi utakuwa unaendelea kwa home team
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unaibiwawazee wenzangu kuna game za PES HUKU NAONA KUNA HELA DAKKA KUMI TU USHAKULA CHAKO 1XBET
Ok ni sawa kabisa nimeconfuse hapo badala ya kusema away team nikasema home team,2/2 kwa uelewa wangu ni kwamba team 2 ashinde mwanzo mwisho kwamba 1st half ashinde na 2nd half vile vile ashinde,,yaani kama 1st half iwe home team 1-2 away team halaf 2nd half home team 0-1 away team..hapo game itaisha 1-3 na away team atakua ameshinda vipindi vyote viwili..ndo naelewa ivo kwa maana ya 2/2
Sent using Jamii Forums mobile app
half time/full time.,2/2 kwa uelewa wangu ni kwamba team 2 ashinde mwanzo mwisho kwamba 1st half ashinde na 2nd half vile vile ashinde,,yaani kama 1st half iwe home team 1-2 away team halaf 2nd half home team 0-1 away team..hapo game itaisha 1-3 na away team atakua ameshinda vipindi vyote viwili..ndo naelewa ivo kwa maana ya 2/2
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi 100 mara 1000000 ni ngapi? Ila washenzi wanapiga hela kwenye jackpot! Yani single jackpot wanaondoka na over 2 billion kudadadeki!Kuna anaebet jackpot zile za betpawa?
zile za shilingi mia mia πππππ tupo vichenchi vikibaki unakatakichwa unawekaKuna anaebet jackpot zile za betpawa?