Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu naomba msaada namna ninavyoweza kuwithdraw hela kutoka kwenye account yangu ya skrill kwenda either mpesa/tgopesa

 
huwezi kuwithdraw kwa njia ya mpesa wala tigo mkuu.

Duhhh..hamna uwezekano wa kumuhamishia mtu mwingine mwenye skrill au kumudepositia moja Kwa moja kwenye 1*bet hafu yy akanirefund the same amount via mpesa/tigopesa
 
Duhhh..hamna uwezekano wa kumuhamishia mtu mwingine mwenye skrill au kumudepositia moja Kwa moja kwenye 1*bet hafu yy akanirefund the same amount via mpesa/tigopesa
nilwah kuona post humu kua kuna jamaa anafanya hivyo. Jaribu kupitia post za nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…