Kala za usoMtanipa matokeo ya LA lakers naona anataka kuninyima hela peke yake...
Mimi nazima simu nalala...
nba play over ikibd ile over ya kwanza kabsa kweny options ,mara nyingi inatoaaisee bet lost sasa najutia why nilitoa ile option ya over ...
Lakini inakuwa na odds kiduchunba play over ikibd ile over ya kwanza kabsa kweny options ,mara nyingi inatoa
Sent using Jamii Forums mobile app
kubeti direct win tulishapiga marufuku mkuuaisee bet lost sasa najutia why nilitoa ile option ya over ...
yah mzee unaweka combination ya team 3,4 odd 3 ukosi na odd 3 hazijawahi kuwa odds ndogo dunian hapa
Okk mzee babayah mzee unaweka combination ya team 3,4 odd 3 ukosi na odd 3 hazijawahi kuwa odds ndogo dunian hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa ungetenganisha hii mikeka lazm ungekula tu,bet moja ya win or loss ikuache elimu kidg ya jins ya kubet game zingine zijazo
Kiufupi umewapa wa nyumbani wote washindeWEEKEND NJEMA NA BETPAWA JACKPORT
Pole sana, nba ni bora ucheze overaisee bet lost sasa najutia why nilitoa ile option ya over ...
Wadau leo najaribu games fixed za majaribio zikitick, mjiadae bei zitakuwa ndogo tuu, kuliko poteza mapesa kwenye hisia wakati toka club unaweza pewa desa.
ntawapa free 1 Odds 3
so mjiandae
Jaribu hapo huenda ukarudisha hela yako,,,zipo game 5 ili na kabonas upatepoaisee bet lost sasa najutia why nilitoa ile option ya over ...