Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kazi ni kwako game 6 odds 4
Screenshot_20190105-103627.jpg
Screenshot_20190105-103613.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Source 1 imeniaminisha sana , sema ikanipa trial games mbili za leo na kesho...sema me ntawapa Odds 3 za game ya leo tuangalie kweli...Club imeuza desa? then baada ya apo ndyo tuanze upepo wa kusaidia jamii kumpiga Kanji...

Odds 3 ya leo ntawapa saa7 kamili ya kizungu. Tujaribu tusua wote.
 
Ntakuwepo mkuu

Unauza Odds au Bure?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
urgent!!! urgent urgent!!! urgent!!! urgent!!!

mwenye 10k 1xbet anitransfie nimrefund m pesa wazee
 
Kuna Source 1 imeniaminisha sana , sema ikanipa trial games mbili za leo na kesho...sema me ntawapa Odds 3 za game ya leo tuangalie kweli...Club imeuza desa? then baada ya apo ndyo tuanze upepo wa kusaidia jamii kumpiga Kanji...

Odds 3 ya leo ntawapa saa7 kamili ya kizungu. Tujaribu tusua wote.
KipusaNDAMCHO kwa hili naamini inawezekana maana una game zako unazioteaga zenye odds za maana..BTW vipi matokeo ya zile game za FH/FT
 
Back
Top Bottom