Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

KipusaNDAMCHO kwa hili naamini inawezekana maana una game zako unazioteaga zenye odds za maana..BTW vipi matokeo ya zile game za FH/FT
Kaniaminisha kwanza ticket zake 3 alizocheza tarehe 23,26, 27 dec(HT/FT) na games za leo izo ticket ake alivyostake pesa ya kufa mutu..akiniambia nisubirie ushindi wake nimwamini..so akanipa trial free..
 
Usishangaee hawa nao wakashindwa kutoa 1.5over
Screenshot_20190105-115435.jpg
 
Kaniaminisha kwanza ticket zake 3 alizocheza tarehe 23,26, 27 dec(HT/FT) na games za leo izo ticket ake alivyostake pesa ya kufa mutu..akiniambia nisubirie ushindi wake nimwamini..so akanipa trial free..
leo lazima tuende pamoja
 
Back
Top Bottom