Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Apo nimejaribu share zile za Full time(FT) , Maana alinipa HT&FT nataka ona kweli HF/FT zinatoa based na ticket ake aliyojimaliza na stake!
 
Kama ni za majaribio ungeshare zote tu mkuu kama ulivyozipata ili ikiwa sahihi basi utakuwa na raia wengi zaidi on board KipusaNDAMCHO
 
Zote nimeshare kwa Wall, kazi kwenu wadau..Unaeza cheza single ya leo, then single ya kesho alafu ukacombine zote..based na mdau amecombined zote na amejilipua kweli.
 
Based on Todays and Tomorrows games
ya leo ni FT- Away win,
ya kesho HT/FT - Draw/Home win

Jumla kuu ni Odds 15+ Combined..
 
Dah! Kumbe meridianbet mtindo wao wakuwekwa mpira kwapan hawajaacha aisee Yan siwez kubet Wala kuwithdraw pesa Yan leo najuta sijui Nan na n kwann nlitoka premier bet
 
Anayetaka proof za mdau ancheck PM, Ntamtumia ili akiamua jilipua ajilipue..
hii ya leo ni trial games ndyo leo tunaanza jaribu business ake ya games..so sijalipa ndyo maana nimeachia free..japo yeye kalipa kwa real source ake
 
Nishajilipua
IMG_20190105_134046_410.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anayetaka proof za mdau ancheck PM, Ntamtumia ili akiamua jilipua ajilipue..
hii ya leo ni trial games ndyo leo tunaanza jaribu business ake ya games..so sijalipa ndyo maana nimeachia free..japo yeye kalipa kwa real source ake


Sasa kuwaandikia hapo waliokuomba na kuanza kusumbuana nawatu huko PM huon n usumbufu au PM aje muongee kuhusu pesa mzee
 
Sasa kuwaandikia hapo waliokuomba na kuanza kusumbuana nawatu huko PM huon n usumbufu au PM aje muongee kuhusu pesa mzee
BOB SIPO KWA PESA EROOH...CHECK TOKEA NAANZA BET APA..NASHARE TIPS NA WATU WANAPIGA PESA...KAMA PESA MBONA ZITAKUJA TUU....KUNA MWINGINE MPKA AONE WINNINGS ZA MDAU(SOURCE TOKA AMEANZA NUNUA GAMES ZAKE NAKUTUSUA) ..RESPECT MY TIME BROTHER.

APO TUNAJARIBU ONA SOURCE YA MDAU NI REAL AMA SI REAL...JUST BEAR IT ON YOUR MIND...AMA AJITOKEZE MDAU ALISHAWAI OMBWA PESA..NA REFERENCE YA SCREEN SHOT...WE GAMBLE FOR FUN AND TARGET BROTHER
 
Back
Top Bottom