KipusaNDAMCHO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,572
- 1,464
Ticket iyo mkuuu...kuna game ya leo saa12 na kesho saa8 wametuzidi lisaa 1 ndyo maana muda wao uko mbele lisaa1 kwenye system yaoManake hapo umeacha game moja tu la kesho HT DRAW mkuu..
Ticket iyo mkuuu...kuna game ya leo saa12 na kesho saa8 wametuzidi lisaa 1 ndyo maana muda wao uko mbele lisaa1 kwenye system yaoManake hapo umeacha game moja tu la kesho HT DRAW mkuu..
Ngoja nikufuate mkuuTicket iyo mkuuu...kuna game ya leo saa12 na kesho saa8 wametuzidi lisaa 1 ndyo maana muda wao uko mbele lisaa1 kwenye system yao
View attachment 986755
Kwenye Proof tushamaliza chapter iyo wadau mtashare na wengine...so kazi ni kwenu maana hakuna aliyeumizwa kwa gharama ni wewe na internet na stake ako...Tukutane J3 kwenye makavu kama nimeleta tango pori ama real source ya kupiga pesa.Anayetaka proof za mdau ancheck PM, Ntamtumia ili akiamua jilipua ajilipue..
hii ya leo ni trial games ndyo leo tunaanza jaribu business ake ya games..so sijalipa ndyo maana nimeachia free..japo yeye kalipa kwa real source ake
Chelsea over 1.5/under 4.5
jamani premier bet wametoa mobile payment au ni kwangu tu maana sizioni?Tabia hii sii issue hata kidogo
jamani premier bet wametoa mobile payment au ni kwangu tu maana sizioni?
hapo najilipuwa mazima kama mdau alivyobeti habari za kusema ningejuwa na mimi ningeufuata mkeka hata sizihitaji kama likiwa tango pori basi potelea mbaliKwenye Proof tushamaliza chapter iyo wadau mtashare na wengine...so kazi ni kwenu maana hakuna aliyeumizwa kwa gharama ni wewe na internet na stake ako...Tukutane J3 kwenye makavu kama nimeleta tango pori ama real source ya kupiga pesa.
Weekend Njema wadau...wenye hasira kwann nimeshare na wadau..mezea mate tu gubu. Tukutane kesho ama J3.
Hivi unawajua wachawi Wigan Athletics kwenye hili kombe? Daah kuna kuweka mikono kichwani baadaye lakini!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hivi unawajua wachawi Wigan Athletics kwenye hili kombe? Daah kuna kuweka mikono kichwani baadaye lakini!
Sasa hpo umeona vzr kweli au ni nini
Hiyo stake kichwa kinazunguka dah...
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hiyo stake kichwa kinazunguka dah...
Corners [emoji23] [emoji23]Sasa hpo umeona vzr kweli au ni nini
Man u & under 0.5 ?!! Hapo hakuna goli sasa sijui atakuwa amewin vp
Sent using Jamii Forums mobile app