Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ohh
Screenshot_20190106-080443.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ivi betpawa kwenye jackport yao ukipatia11 unapewa bonus?naona limkeka stili lipo pending wakati sio kawaida yao,
 
Ongeza timu mbili kama una uhakika nazo ule 50% bonus. Kama huna uhakika basi simple kokoro la leo hilo hapo. Wadau mna la ziada kabla sija click button? Naona kuna mechi zingine kwenye options za magoli Kanjiby katushtukia anaamua kubana sana. Kuna mechi anaanzia 3.5 over? fala sana!
 

Attachments

  • Screenshot_20190106-085904.png
    Screenshot_20190106-085904.png
    61.5 KB · Views: 39
Bank ABC inakubali kuweka inaanzia 1500 ila kutoa Ni mpaka uwe na Euro 50 Kama 129 mpaka 130k za kitanzania.... Haisumbui kabisaaa....
 
Back
Top Bottom