mkuu mbona hutaji ni visa card ya bank gani?
Mkuu nimeitia kibindoni....Bado Jackpot kule naona mambo swaaaaafiiii leo ilikuwa njenje.....! Dah weekend hii Kanjiby anaendelea kuchapwa! Pia hapa nina kokoro linaisha tarehe 14 lina mkwanja mkubwa tuu na linaenda vizuri badoJina lako limeitwa dirishani kachukue 1.5m yko bwana Arsenal amemaliza kibarua chako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu itabidi unipe maufundi nina wiki ya 3 leo nachezea mkong'oto haswa mhindi anachekelea tu anajua boya ataleta hela tuMkuu nimeitia kibindoni....Bado Jackpot kule naona mambo swaaaaafiiii leo ilikuwa njenje.....! Dah weekend hii Kanjiby anaendelea kuchapwa! Pia hapa nina kokoro linaisha tarehe 14 lina mkwanja mkubwa tuu na linaenda vizuri bado
ukweli ni kwamba ukipigwa ndio mbinu za kubet salama zinakuja hvyo endelea tu utakaa sawaMkuu itabidi unipe maufundi nina wiki ya 3 leo nachezea mkong'oto haswa mhindi anachekelea tu anajua boya ataleta hela tu
Sent using Jamii Forums mobile app
PoleMkuu itabidi unipe maufundi nina wiki ya 3 leo nachezea mkong'oto haswa mhindi anachekelea tu anajua boya ataleta hela tu
Sent using Jamii Forums mobile app