Bado Chelsea anapita na kengine! Muwekee Arsenal over 2.5 hutojuta... Mimi niliwawekea spurs Everton na Arsenal now namsubiria Arsenal nivute 1.5M naamini naichukua bila shughuliZaidi ya jasiri mi man kapita na 42k tu karoho kanadunda balaa ije kuwa milioni aseeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo usimtegemee mkuusutton anaongoza wadau hahahahhaah
Mkuu chelsea sikumgusa kabisa yani bado sijamsahau that day ya bila bila, kila la heri mkuu umlize kanjiBado Chelsea anapita na kengine! Muwekee Arsenal over 2.5 hutojuta... Mimi niliwawekea spurs Everton na Arsenal now namsubiria Arsenal nivute 1.5M naamini naichukua bila shughuli
Hata kama kauza itakuwa kapata hasara..maana kusubiri ushindi mpaka dakika za mwisho sio kazi ndogo.Nahisi yule jamaa alieweka 1M aliuza mkeka baada ya Burnley kuchelewa kufunga goal. No wonder hajaweka screenshot ya won kama mihemuko yetu ilivyo tukishinda Nahisi ivo
Sent using Jamii Forums mobile app
kafanyaje tena mbona anaongoza 2Aisee chelsea si timu anakula BAN ya maisha
Daah hawa betpawa hawaijaiweka hiyo ya kwanzaNshazitupia nimeongeza na ya kesho..
BOB SIPO KWA PESA EROOH...CHECK TOKEA NAANZA BET APA..NASHARE TIPS NA WATU WANAPIGA PESA...KAMA PESA MBONA ZITAKUJA TUU....KUNA MWINGINE MPKA AONE WINNINGS ZA MDAU(SOURCE TOKA AMEANZA NUNUA GAMES ZAKE NAKUTUSUA) ..RESPECT MY TIME BROTHER.
APO TUNAJARIBU ONA SOURCE YA MDAU NI REAL AMA SI REAL...JUST BEAR IT ON YOUR MIND...AMA AJITOKEZE MDAU ALISHAWAI OMBWA PESA..NA REFERENCE YA SCREEN SHOT...WE GAMBLE FOR FUN AND TARGET BROTHER
Yawezekana. Sisi tunampa hongera za buree tu mtu kakaa kimya. Labda kauza kwa hasara huyoNahisi yule jamaa alieweka 1M aliuza mkeka baada ya Burnley kuchelewa kufunga goal. No wonder hajaweka screenshot ya won kama mihemuko yetu ilivyo tukishinda Nahisi ivo
Sent using Jamii Forums mobile app