ALL IN ONE
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 272
- 190
Sooma hyo
Mungu wake asimuache yule wa m1
Kamanda ungelipuka kwa Burney dakika za mwisho sijui alikua Na odds ngapi..
Huu mwaka umeanza vibaya sana kwangu
Asante mkuuPole.. Sio peke yako ndugu, tupo wengi.. Mimi ni mmoja wao, sijawahi pata hasara kama hii mwanzo wa mwaka tena kwa timu/ligi zilizonipatia pesa nzuri kwa muda mrefu.
Tujipange upya.
Tehtehteh Mkuu ngoja niende short break, narudi kwaajili ya watoto wa Brazil.Kauli hii najua utakua umemnyonga mhindi si bure..
Tehtehteh Mkuu ngoja niende short break, narudi kwaajili ya watoto wa Brazil.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa leo mkuu ngj nami nitembelee upepo wako screenshot plz kw kil tukio..
Zaidi ya jasiri mi man kapita na 42k tu karoho kanadunda balaa ije kuwa milioni aseeeeeJamaa jasiri sana...kama utani aisee.
Hii mkuu ulikuwa umeipania vilivyo...maana kejeli unacheka..safiii..Big up punter
Wamepita na ten lang [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itatoa
Mi kapita na ten lang ndio itakua hyo milion yaan nitaacha na kubetZaidi ya jasiri mi man kapita na 42k tu karoho kanadunda balaa ije kuwa milioni aseeeee
Sent using Jamii Forums mobile app