Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mf km hi inaonyesha us 15 yaani km hata chai haitoshi hivo inanipa mukari was kumsaka zaidi mrusi hizi za kwetu haya maziro ziro yanafanya mtu huone km umempiga hell nyingi kumbe Wala ukiona maziro mengi kwa us hapo kweli umempiga mm nimebadiri nitatumia kwa us

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya majitu yangekuwa hata na roho ya huruma yangenirudishia tu hata hela yangu,maana muda niliotumia kufanya upembuzi yakinifu kwenye hiyo JACKPORT,sawa na kutembea DAR to MIKUMI ila ndo vile naambulia patupu.MUNGU ANAWAONA.
 

Attachments

  • untitled.PNG
    54.1 KB · Views: 42
  • untitled.PNG
    56.1 KB · Views: 37
mkubwa bila shaka hii n 1xbet.......km n ndy, je unaitumiaje wakati mobile system fail like TIGO VODA n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bank ABC inakubali kuweka inaanzia 1500 ila kutoa Ni mpaka uwe na Euro 50 Kama 129 mpaka 130k za kitanzania.... Haisumbui kabisaaa....
uki withdraw toka 1xbet inachukua muda gani kuingia kwenye akaunti ?
 
haya majitu yangekuwa hata na roho ya huruma yangenirudishia tu hata hela yangu,maana muda niliotumia kufanya upembuzi yakinifu kwenye hiyo JACKPORT,sawa na kutembea DAR to MIKUMI ila ndo vile naambulia patupu.MUNGU ANAWAONA.
Hii bet unashinda mkuu...Hapo kwenye pending unaenda kupiga kiulaini maana jamaa yupo na kibonde. Vuta subira uje ulete mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…