Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee WA live apo vipi
Screenshot_20190109-181641.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ya kujilipua style iyo ni moja tu ni Kwamba : Ukishaweka mkeka wa kujilipua usifatilie matokeo, Piga safari hata 4 kisha lala.....ukiangalia angalia matokeo utashawishika kuuza mkeka wakati mwanzo ulishaamua kujilipua. Uyo mdau kama alikua hacheki game atakua aliingiza pesa.
Sure Mkuu, kuna siku nilitupia 400k ili itoe 1M watu wakahamack mbaya. Lakini mwisho Wa siku nikavuta M yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ATTENTION JAMANI.......
Habari za muda huu....natumaini kanji anakalishwa na kutukalisha vile vile....
Ninahitaji kuunda group WhatsApp la watu wasiozidi 7, lengo nahitaji nipate watu makini ambao tutakuwa na uwezo wa kutengeneza odds 3-5 kwa siku ambazo zitakuwa na winning rate ya 90%.
tutakuwa tunajikita Sana kwenye football na basketball so ujitahidi kuelewa kubeti basketball pia.
Kwa aliyetayari anaweza kunicheck WhatsApp # 0625641036
KUKIWA NA RATE NZURI YA USHINDI KATIKA WEEK MEMBER WENGINE MTAALIKWA KUJIUNGA NA GROUP NA ITAKUWA FREE, MAANA NAJUA WOTE TUNAHANGAIKA KUMKALISHA KANJI....ASANTENI
Mzee baba nipo njiani naja huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom