kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
HahahahahahaNi bora ukaweka mzigo mapema afu unalala ukiamka saa 12 unachungulia kibubu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hapo Atletico Madrid napata wasiwasi mkuu, japo kila la kheri mkuu ...
P1 mkuu ngoja nisubiri baada ya dk90Kwa hapo Atletico Madrid napata wasiwasi mkuu, japo kila la kheri mkuu ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusema anaweza akafungwa?Kwa hapo Atletico Madrid napata wasiwasi mkuu, japo kila la kheri mkuu ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo yameanza kuwiva. AiseeTukutane sheli baadaye 90%. Pia ukivizia moja moja inplay odd zinakuwa tamu zaidi.View attachment 990052
Sent using Jamii Forums mobile app