Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ndo mana nlikumiss 1xbet ngoja kesho niweke mzigo wa maana
Screenshot_2019-01-09-22-52-40.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
siwez mkuu mi so selfish ntakufundisha kila step hata japokua nimeumiza kichwa kwa siku 3

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ila wengine sie tuna jamaa na marafiki tunaweza wasiliana nao hata huko moshi wa kututafutia hizo Line na kutusajilia,Au hata huku Dar.

Itabidi ufunguke kidogo njia uliyotumia wewe mpaka kufanikiwa na Ku withdraw. Ila wengine wapate darasa tosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom