Mkuu hii ni kampuni gani? naomba link yaoView attachment 989967jackpot cc joanah
Betpawa.co.tzMkuu hii ni kampuni gani? naomba link yao
Yote tisa, kumi ni siku suala la muamala 1xbet kupata ufumbuzi.Siku hiyo naisubiri kwa hamu sanaaaa, hizi app zingine duhhhh!!!!!
1xbet nishaitumia lakini wala sijawahi kupagawa nayo hivyo.Yote tisa, kumi ni siku suala la muamala 1xbet kupata ufumbuzi.Siku hiyo naisubiri kwa hamu sanaaaa, hizi app zingine duhhhh!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote tisa, kumi ni siku suala la muamala 1xbet kupata ufumbuzi.Siku hiyo naisubiri kwa hamu sanaaaa, hizi app zingine duhhhh!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shida kabisa unaweka kwenye crdb kisha unapeleka 1xbetOoh asante mzee kuna mtu alisema humu kuwa wana shida kwenye kudeposit.
Hakuna shida kabisa unaweka kwenye crdb kisha unapeleka 1xbet
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
hilo sahau mkuu. We jiachie tu na kampuni za kibongo hizi.Yote tisa, kumi ni siku suala la muamala 1xbet kupata ufumbuzi.Siku hiyo naisubiri kwa hamu sanaaaa, hizi app zingine duhhhh!!!!!
Sent using Jfamii Forums mobile app
Mwendo Wa over first halfwazeee haw brazir u 20 copa sao paul tunaendaje hapoooo
Wewe jamaa wewe. Nakuona nasema hiiiiiiii.
Sure Mkuu, kuna siku nilitupia 400k ili itoe 1M watu wakahamack mbaya. Lakini mwisho Wa siku nikavuta M yangu.Dawa ya kujilipua style iyo ni moja tu ni Kwamba : Ukishaweka mkeka wa kujilipua usifatilie matokeo, Piga safari hata 4 kisha lala.....ukiangalia angalia matokeo utashawishika kuuza mkeka wakati mwanzo ulishaamua kujilipua. Uyo mdau kama alikua hacheki game atakua aliingiza pesa.
Mzee baba nipo njiani naja hukoATTENTION JAMANI.......
Habari za muda huu....natumaini kanji anakalishwa na kutukalisha vile vile....
Ninahitaji kuunda group WhatsApp la watu wasiozidi 7, lengo nahitaji nipate watu makini ambao tutakuwa na uwezo wa kutengeneza odds 3-5 kwa siku ambazo zitakuwa na winning rate ya 90%.
tutakuwa tunajikita Sana kwenye football na basketball so ujitahidi kuelewa kubeti basketball pia.
Kwa aliyetayari anaweza kunicheck WhatsApp # 0625641036
KUKIWA NA RATE NZURI YA USHINDI KATIKA WEEK MEMBER WENGINE MTAALIKWA KUJIUNGA NA GROUP NA ITAKUWA FREE, MAANA NAJUA WOTE TUNAHANGAIKA KUMKALISHA KANJI....ASANTENI
Tehtehteh kwann MkuuWewe jamaa wewe. Nakuona nasema hiiiiiiii.
Kazi yangu nzuri sana, una mwandiko msafi hauchafui daftari lako..
Yaani unafanya intepertunyuwaaa nzuri sana.
Ila sasa mkuu kuna kitu huwa unaniacha na gari la mshahara.