SINA JAMBO
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 338
- 270
jamaa anasema anatuna TZ nzima mi npo mbeya
Mimi nipo Dar es Salaam mkuu, ila bado hujanijibu kuwa huko Moshi hizi Line zinapatina ...?jamaa anasema anatuna TZ nzima mi npo mbeya
kama naona nnavotangaza biashara ya mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
yap zipo n hata Dar nimeambiwa zipoMimi nipo Dar es Salaam mkuu, ila bado hujanijibu kuwa huko Moshi hizi Line zinapatina ...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok,
sjaikuingiza vochaOk,
Sasa ktk uingizaji vocha huwa unatumia za aina ya huku Bongo au kuna njia nyingine mbadala
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hongera aisee...ndo mana nlikumiss 1xbet ngoja kesho niweke mzigo wa maanaView attachment 990589
Sent using Jamii Forums mobile app
ila mwana una majibu ya mkato mno.
siwez mkuu mi so selfish ntakufundisha kila step hata japokua nimeumiza kichwa kwa siku 3Mkuu hongera aisee...
Ila usije niacha njia panda kuhusu hiyo Mobile payment
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukiwithdraw unatoaje huku kwetu?siwez mkuu mi so selfish ntakufundisha kila step hata japokua nimeumiza kichwa kwa siku 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana some time naona shida kumpiga maswali mengi kutokana na majibu yake ya mkato.ila mwana una majibu ya mkato mno.
Funguka basi kinagaubaga ili na sisi tufaidi uhondo
Mkuu kushea nd mpango b4 ma green au unaonaje. nass tupate maujanj ya inplay...ndo mana nlikumiss 1xbet ngoja kesho niweke mzigo wa maanaView attachment 990589
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna njia ya kutoa m pesa bongo kwenda kenya and mpesa kenya to bongoSasa ukiwithdraw unatoaje huku kwetu?
Sawa ila wengine sie tuna jamaa na marafiki tunaweza wasiliana nao hata huko moshi wa kututafutia hizo Line na kutusajilia,Au hata huku Dar.siwez mkuu mi so selfish ntakufundisha kila step hata japokua nimeumiza kichwa kwa siku 3
Sent using Jamii Forums mobile app