sioni dalili kabisa
wale wa live game ya napoli weken inaisha 3-0
odds zilikua ngap
Leo naingiza mtaji baada ya kufirisika
Wakuu huyu kanji mbona nikipanga mkeka hatumi zile sms zinazoonesha umeweka timu gani.Hata risiti hatumi.
naona ulijichimbia kidogo deo
Wakuu huyu kanji mbona nikipanga mkeka hatumi zile sms zinazoonesha umeweka timu gani.Hata risiti hatumi.
cha msingi nakili mapema risiti namba usisubirie text irudi.
Kaka nahujumiwa,Zile dakika mbili zikiisha sipati tena ile text yenye risiti namba.Nikiwahi kulipia sipati tena text!!
Timu 8 za ushindi ,tupieni hapa nina buku tano inanisumbua hapa
spartak moscow
monaco
FC schaffhausen
FC zurich
villareal
Lyon
Rennes
*ushindwe wewe tuu,,,
spartak moscow
monaco
FC schaffhausen
FC zurich
villareal
Lyon
Rennes
*ushindwe wewe tuu,,,