Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu tupeane upepo wa leo mapemaa, si unajua ligi ndio zinaishia.....

embu tupia mkekawako hapo tubadilishane mikeka yani,

wangu,

celic- dundee
cska moscow - tom tomsk
 
Cska moscow, achana na celtic odds zao sio nzuri na wanaweza kupigwa pia
 
Leo ngoja niingize mzigo wa uhakika na mchana niweze shinda triple.
Wamekula hela zangu hawa watu sababu ya tamaa yangu kutaka hela nyingi timu moja inaharibu mapema
 
Leo mtu aweke mkeka wake hapa basi maana naona kimya
 
Wana hawa M-bet vp leo? Mbona shalke 04 kashnda 4 -1 wao wanasema kafungwa 5?
 
Metallurg Donetsk
everton
fiorentina
kasimpasa
sportin lisbon
NK Slaven
 
Jamani usije weka ada kwenye bahati nasibu maana timu hazieleweki kabisa kitimu kidogo kinaifunga timu kubwa, au inakuwa draw.
Kweli hela kuipata kazi na sio kukaa tu na kutegemea kupata
 
Nduguz zangu game zimeisha tusubirini world cup panapo uhai na uzima, sasa hvi majanga tu ligi zilizobaki ni vietnam, Australia, taiwan, china, hehehe
 
Tusubiri wordcup tuwekeze ktk yellow card na red card hasa game za kiafrica
 
Yaani sijui lini nitarudisha hela zangu zote walizokula.
Najua ipo siku
 
Back
Top Bottom