Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuanzia wiki ijayo Kuna watu wanne wakukupa pesa
1. Young boys win &3+
2. Midtyland fc win &3+
3. Perth Glory win &3+
4. Fc Copenhagen win &2+


Hao hawakulazi njaa 99% hyo Moja waachie mwachie refa.

Bet kistaarabu
 
Safi Mkuu, nashangaa wale wanaokujaga Hapa kulalamika kuwa hatuposti hints sijui hizi hawazioni.


Tatizo huwa wanaharaka ya kuliwa hawataki kutulia jamaa alifikisha odds 15.5 nikashindwa kumwekea Mana pesa yote nlishampa akiwa na 5.5 ila huyu jamaa tokea amfunge Sydney fc basiii nikamsajili jumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…