Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tatizo huwa wanaharaka ya kuliwa hawataki kutulia jamaa alifikisha odds 15.5 nikashindwa kumwekea Mana pesa yote nlishampa akiwa na 5.5 ila huyu jamaa tokea amfunge Sydney fc basiii nikamsajili jumla
Hahaaa sampuli ya kina soka255 unaleta possible wanakuponda baadaye wakiona green macho yanawatoka. Aiseee
 
#Aiseee
Screenshot_20190113-144035~2.jpeg
 
Safi Mkuu, nashangaa wale wanaokujaga Hapa kulalamika kuwa hatuposti hints sijui hizi hawazioni.
Hawa Perth glory nusura waniue presha maana dakika ya 77 mtu kaliwa 3 kwa 1 na Khanji wazimu ukampata kapandisha odds za Perth glory mpaka 12 ila mpaka dakika ya 85 ubao ukasoma 3 kwa 3 na dakika ya mwisho glory wakaleta kweli glory....Now nawacheki Atletico nawaambia hihihiiii mkinichezea ni selo tu kama wanabisha wamuulize real na aseno!
 
Back
Top Bottom