Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Namsubiri mana hata mimi huwa sielewiMkuu Naomba unieleweshe hii Clean sheet huwa siielewi ina maana gani???
Sent using Jamii Forums mobile app
Namsubiri mana hata mimi huwa sielewiMkuu Naomba unieleweshe hii Clean sheet huwa siielewi ina maana gani???
Sent using Jamii Forums mobile app
daaa mkuu umenikumbusha mbali sana nilivyoijua betpawa hii ndo ilikuwa option yangu lakin ndo hivyo loss za kutoshaKila siku lazima mjinga mmoja atokee why? View attachment 993421View attachment 993422
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aliye niajiri humu ndani? Wewe si uweke kabla ya kula.
mkuu cleansheet maana yake ni kwamba dk 90 timu isifungwe goli iyo uliyoichagua ambayo inaweza kuwa ya nyumbani au ugenini.mfano simba vs azam kwa mm ntasema upande wa azam kwamba no cleansheet maana yake lazima tu atapitisha goli liwe la kujifunga au kufungwa na simbaMkuu Naomba unieleweshe hii Clean sheet huwa siielewi ina maana gani???
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857]View attachment 993110
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Yani timu iruhusu goli.Namsubiri mana hata mimi huwa sielewi
Acha upuuzi[emoji16][emoji16][emoji16]Clean ni safi na sheet ni shuka sasa nadhani inaweza kuwa inamaanisha mashuka masafi. Ingawaje ngoja tumsubiri jamaa nae afafanue zaidi. Asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu utawapoteza wakongwe haipo hivyo ...nikisema kwa mfano leo barca na eibar .pale cleansheet kwa barcelona amewekewa yes au no.ukichagua yec maana yake barca isipitishe goli na ukichagua no ni kwamba barca aluhusu goli liingie.hii option makipa ndo waamuz.Yani timu iruhusu goli.
Sasa hapo unakubali au unakataa.
Ukiweka yes, ina mana unakubali kuwa timu itaruhu goli.
Ukiweka no, maana yake unakataa kwamba haitoruhusu goli.
(Kuchafua gazeti[emoji3][emoji3] yes or no)
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Yaaaah nimejichanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu utawapoteza wakongwe haipo hivyo ...nikisema kwa mfano leo barca na eibar .pale cleansheet kwa barcelona amewekewa yes au no.ukichagua yec maana yake barca isipitishe goli na ukichagua no ni kwamba barca aluhusu goli liingie.hii option makipa ndo waamuz.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Yaaaah nimejichanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Yaan leo dutch eerste divisie mechi zote zimetoa 1.5 over
Kila siku lazima mjinga mmoja atokee why? View attachment 993421View attachment 993422
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂tatizo la kanji siku ukiamua uweka hata 10k lazima apite nayo
[emoji23][emoji23]tatizo la kanji siku ukiamua uweka hata 10k lazima apite nayo