Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ana odds tamu kinomaa

Sent using Jamii Forums mobile app


atashinda.JPG
 
Mbona sijaelewa mkuu, huyo mjinga ni yupi kwny huu mkeka wako? ... km ni Helmond mbona hiyo umewin ?!!

Cleansheet away = No (Ina maana away aruhusu goli angalau moja, na ndivyo ilivyokuwa coz matokeo ni 1-1)




Sent using Jamii Forums mobile app

Walichelewa Ku update mkuu afu sikuangalia matokeo mkeka ulitiki huu na ni Mara ya kwanza niliweka hii option ngoja ntaifata sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom