Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chukua mbinu hii mkuu...

Angalia zile ligi zinazo fungana, Mfano Austria, Wales,Crypus Scotland,
Baada ya hapo chunguza Option za Direct win zilizo tolewa kwa baadhi ya mechi ktk ligi hizo.

Mfano,

Celtic 1.54. & 5.24. Dundee

Sasa hapo unajua kabisa Celtic kapewa Odd ndogo tofauti na huyo mpinzani wake. Na ina dhihirisha kuwa hawa Dundee lazima nyavu zao zitikisike.

Sasa hapo wewe utapata No Clean sheet.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitaijaribu siku nione napataje pataje
 
Mashaka tayr. Hiv hawa wanacheza kweli kwa possession hii
20190113_225710_rmscr-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo kanjibhai atanikoma Madrid na napoli wanaongoza 3+ odds hahhahhaha stake ni Kama mataji wote tu yaniii ngoja nimalizie na hiii AISEEEEEE wakiharibu tu nakuwa masikini sana tena sanaaaa
 
Back
Top Bottom