The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
1xbet wapo Njian kuja soon, na baadhi ya process kwa Tanzanian wameshamaliza I mean lesen na mengineyo vimebaki Vitu vichache tu, ndio kwa waliona mechi ya simba na waarabu, Uwanja wa Taifa wameweka mabango yao, pemben mwa uwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushakuwa masikini tayar, madrid sio wa kumwamin msimu huuu, anapigwa hata na arsenalLeo kanjibhai atanikoma Madrid na napoli wanaongoza 3+ odds hahhahhaha stake ni Kama mataji wote tu yaniii ngoja nimalizie na hiii AISEEEEEE wakiharibu tu nakuwa masikini sana tena sanaaaa
mkuu angalie tena ubaoUshakuwa masikini tayar, madrid sio wa kumwamin msimu huuu, anapigwa hata na arsenal
Sent using Jamii Forums mobile app
2pia mkeka 2po macho apaDaah Pesa hii imenipitaView attachment 993705
nani kakupenyezea hizi taarifa za leseni mkuu?1xbet wapo Njian kuja soon, na baadhi ya process kwa Tanzanian wameshamaliza I mean lesen na mengineyo vimebaki Vitu vichache tu, ndio kwa waliona mechi ya simba na waarabu, Uwanja wa Taifa wameweka mabango yao, pemben mwa uwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
nani kakupenyezea hizi taarifa za leseni mkuu?
Ila suala la mabango hilo ni la kawaida kwa club bingwa afrika. Ingekua ni ligi yetu hii ya kibongo hapo sawa
Mie Jana niliweka 21.....20 zimepeleka 1 imezingua daaaaaaaaaaDaah Pesa hii imenipitaView attachment 993705
Matokeoooooo YA 1:0,2:0,3:0,4:0 0:1,0:2,0:3 timu moja ifungwe yenyewe isipate goli
acha unaa basi.....unatuwekea ili iweje si bora uache tu!!Kuna aliye niajiri humu ndani? Wewe si uweke kabla ya kula.
daaaaahhhh!!!**** **** u **** again AEK LARNACA
View attachment 993770View attachment 993769View attachment 993768