Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hata ukiwekewa huo mkeka kabla hawajala ,utaweza weka stake ya 30,000 dk ya 35 over 0.5 first half kwel au roho mbaya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Me nadhani jamaa yuko sahihi kulalama. Lengo la humu ni kusaidiana kila mtu apate. Unaweza tu kuweka hata mtu asilike. Lakini badae unakuja kushangaa mtu anakwambia broo asante nilidesa. Sasa ukipost wakati ushakula inasidia nini.

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
uko sahihi mkuu,ila hata izo win wanazopost zina elimu kubwa sana ni vile watu wavivu tu wakufanya kama wanavyoona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nadhani jamaa yuko sahihi kulalama. Lengo la humu ni kusaidiana kila mtu apate. Unaweza tu kuweka hata mtu asilike. Lakini badae unakuja kushangaa mtu anakwambia broo asante nilidesa. Sasa ukipost wakati ushakula inasidia nini.

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Mengine masharti ya mganga wazee. Mtu ashalishwa yamini ukishare desa linachanika usiposhare unakula, unazani atafanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji817] [emoji120] [emoji120]
Screenshot_20190114-105200.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom