DOTTOJAY
JF-Expert Member
- Sep 12, 2010
- 207
- 124
Tatizo watu wako makini na mikeka iliyo win,ukisha post mkeka uliyowin utasikia mbona hukuweka mapema wakat uliweka na wakiona odd chache one point something wanapotezeaKiongozi achana na watu wa aina hiyo, mungu akujalie uendelee na moyo wa kujitolea, binafsi natambua jitihada zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app