Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Ulifuata Mkuu?hii imeshatoa mzee safiiii.
Ulifuata Mkuu?hii imeshatoa mzee safiiii.
Hahaaa Mkuu, Void ab initio ni yeye kama yeye na DeepPond ni mtu mwingine wala hatufahamiani.We jamaa una balaaa sanaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya mambo sijui ni msimuu... Au ndo DeepPond kaja kwa jina linginee
Sent using Jamii Forums mobile app
hii mbinu yako ya kubet nzuri sana kuliko ile ya kutandaza limkeka unasubiria dk 90,halafu timu mmoja inakuchaniaAiseee j3 imeanza vyemaView attachment 994166
Hii ckuiona void lazm ningezam nay...Aiseee j3 imeanza vyemaView attachment 994166
Acha tu Mkuu yaani kila usiku unabaki kulaani timu moja tu.hii mbinu yako ya kubet nzuri sana kuliko ile ya kutandaza limkeka unasubiria dk 90,halafu timu mmoja inakuchania
Hizi mkuu unachezaga inplay au mbona nikiangalia sioni odds kubwa hiviAiseee ...!View attachment 994165
Kadiri muda unavyoenda kwenye mechi odd huwa zinazidi kupanda, hivyo ni kuvizia tu.Hizi mkuu unachezaga inplay au mbona nikiangalia sioni odds kubwa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
yah Genoa more than 60% wachambuzi walimpa atashinda, BOTH SCORE FULL TIME naamini pia inaweza toaBoth to score, 80% weka ndoano.View attachment 994180
Ngoja tusubiri odds ipande nirushe ndoano leo nipo pamoja na weweBoth to score, 80% weka ndoano.View attachment 994180
Pamoja Mkuu ila kanji akiamua kukwepa kipigo wakati unasubiri zipande goli linaingia, tehtehteh.Ngoja tusubiri odds ipande nirushe ndoano leo nipo pamoja na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari nimeshatupia maana nimeona tunategana sasa imebidi nimuwahi tu nisubiri kama ni ridhiki yangu kwa leoPamoja Mkuu ila kanji akiamua kukwepa kipigo wakati unasubiri zipande goli linaingia, tehtehteh.
Oi void 2pia mkeka wa badae apoPamoja Mkuu ila kanji akiamua kukwepa kipigo wakati unasubiri zipande goli linaingia, tehtehteh.
WOOON MKAWITHDRAW.Both to score, 80% weka ndoano.View attachment 994180
WOOON MKAWITHDRAW.