Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Sure Mkuu, usikate tamaa. Hapa ni kupiga na kupigwa lakini rate ya kupigwa inakuwa ndogo kuliko rate ya kupiga. Yaani unapiga zaidi na unapigwa kidogo mwisho wa siku unabaki na positive balance.Mkuu kuna kipindi nilijaribugi kutembelea nyota yako nkapigwa mara mbili mfulululizo ila nilicho jifunza hakuna kukata tamaa leo nmefuata huu wapili and likubwa kuwa na mtaji ila huku unatupia ndoani si vibaya ukawa unatichombeza na darasa huru
Sent using Jamii Forums mobile app