Mungu mkubwa aisee..
[emoji56][emoji56]m mwenyew kanipa presha huyo Atalanta yaan niliweka 2+ yaan katoa mwishon kabisaAtalanta anaweza kuchana mikeka ya wengi.. Ngoja tusubiri tuone.
Yaani sikutegemea kama angeweza kutoa goli mbili wakati tumesubiria zaidi ya dakika 80 bila majibu.[emoji56][emoji56]m mwenyew kanipa presha huyo Atalanta yaan niliweka 2+ yaan katoa mwishon kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko pamoja Mkuu.Hongera sana Void Ab Initio kwa kazi nzuri unajitahidi sana ....tuongezee darasa zaidi unatutafunia mno Void Ab Initio
hongera!!!
acha ubwege ww sasa unatupostia mikeka ambayo umewin ili itusaidie nn?kwann usipost kabla ili tufaidi wote?uache umama nyau weeeKUMBE ROHO INAUMA WATU WANAVYOKULA, TUACHE WIVU WA KIJINGA.