Franky
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 2,271
- 2,871
Mkuu vaa miwani ya 3D cheche ni nyingi.😀😀😀😀😀😀
acha kutuumiza hizo green hahahahahaha
Ni kweli kabisa Mkuu, kwanza mm zamani nilikuwa siamini kama watu wanashinda betting ila nilivyoanza kuona winning tickets nikashawishika.Mtu aki post kawin tunapeana hamasa kwamba watu wanakula sasa utapata wapi uchungu wa kuset mkeka kama huoni matunda kwa wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana Mkuu ila wengine tunateseka huku.Tuko pamoja mkuu nakukubali sana instincts zako dakk ya 30+ unaweka stake za maana. Soon tutakudecorate kwenye betting hall of fame
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatutesa ujue, tunataka tuone black ili tuteseke wote.
Ni kweli kabisa Mkuu, kwanza mm zamani nilikuwa siamini kama watu wanashinda betting ila nilivyoanza kuona winning tickets nikashawishika.
Hahaaa wewe baba tuletee possible Basi kama una ubavu. Kubet sio sawa na kuuza njegere. Aiseee.muache umama
Kweli mkuuKwa wanaokula hongereni kama unaona unaliwa sana pumzika usimchukie anaye kula bali ikupe hamasa nawe ujipange vitu ni vya kubahatisha tu wala naye anayekula hana uhakika kuwa atakula bali ni mtaji na kujiwekea mipaka ya kubet lakini wengine kama mimi tunakuwa na mshawasha hela ikiwa kwenye account kila timu unaona ukiweka utakula
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ukipost lost humu wala hutasikia kelele.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Naona ukipost lost humu wala hutasikia kelele.
Marufuku kukata tamaaa
Mkuu fanya yako babu. Usituwaze. Sie tunakula we mwenye stakes za million weka hapa wons na mimi niweke saa hii.Mollel na mwenzake kazetela naona wamerudi shule wale watoto na vi_stake vyao vya 500
Wamegoma Ku update mechi moja hiyo masaa Sasa View attachment 994581
Sent using Jamii Forums mobile app
Asome hiyoooo!ALL IN ONE hebu soma hiyooo...View attachment 994510