Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani vita ni kwa kanji viipi mbona kuna mizozani tena humu.

Mambo ni kueleweshana, kuna jamaa naona alilalama kuwa ni vizuri pia mikeka iletwe kabla ili angalau na yeye adese. Sasa naona naingia now nakuta kumbe kuna malumbano na si amani. Why tunakuwa na utoto hiv wakuu.

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Wala hatuzozani Mkuu, mtu ana shida zake anataka shida zake ziamue sheria za humu ndani. Aje kistaarabu kwani mangapi tunaenda nayo kistaarabu. Akija kiungwana tutaenda naye kiungwana, akija kitoto tutaenda naye kitoto kama alivyokuja. Hakuna kutishana na kupangiana humu ndani, hili ni jukwaa huru.
 
Pesa ya supu
Screenshot_20190115-073502.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_7059.JPG
Kanji Mokili Mobimba[emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii unakua na laini 2 yaaan 1 vodacom Tanzania na nyengin ni hiyo ya safaricom huwa unatuma pesa kwenda safaricom kutoka mpesa tanzania na inafika kwenye hiyo lain ikiwa ina soma Ksh...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom